TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Lady Jay Dee

The Typologically Different Question Answering Dataset

Judith Wambura alizaliwa na Martha na Lameck Isambua Mbibo ambao ndio wazazi wake. Alianza kuimba akiwa na umri wa miaka saba. Alianzia kuimba kanisani kama ilivyo kwa wasanii wengi. Baada ya kumaliza shule, Lady Jaydee aliwahi kufanya kazi Clouds FM kabla ya kuamua kujiingiza kwenye masuala ya muziki hapo mnamo miaka ya 2000.[2]

Je, Lady Jaydee alianza kuimba akiwa na miaka mingapi?

  • Ground Truth Answers: saba2000

  • Prediction:

Alianza kujibebea heshima katika medani ya muziki kunako mwaka wa 2000 baada ya kutoa albamu yake ya kwanza iliyokwenda kwa jina la "Machozi" na kutoa single kadhaa kutoka katika albamu hiyo na kumfanya kuwa mwanamama wa kwanza katika  bongo flava kwa kutumia gharama kubwa ya ujenzi wa albamu katika historia ya muziki wa kizazi kipya.

Je, Lady Jaydee alianza kuimba akiwa na miaka mingapi?

  • Ground Truth Answers: 2000

  • Prediction: